Friday, July 15, 2011

LUDACRIS KUTUA BONGO SHOW YA FIESTA 2011

Mwaka huu ndani ya tamasha kubwa nchini Tanzania (Fiesta) linamdondosha mtu mzima kutoka marekani Ludacriss ambapo show itakua ndani ya viwanja vya leaders. stay tuned na your favourite station Cloudsfm

1 comment:

Taff Guys said...

itakuwa bob kuwaa show wala cyo ya kukosaaaa

Post a Comment