![]() |
mashabiki waliokuwa wamejaa kwa ajili ya show..yani ilikuwa full majotrooooooooooo |
![]() |
BEKA ana msanii mwenzake wa THT |
![]() |
Mja ya wasanii waliohudhuria show ya fiesta wakiwa katika picha ya pamoja na swagger zao tofauti |
![]() |
MWANA FA akiwa anawarusha mashabiki wa tanga ndani ya fiesta |
![]() |
ADAM MCHOMVU&WAKUVANGA |
watu walijiachia kwa sana pande kwa mkwakwani kwa ajili ya show..ambayo ilikuwa ni hot sana
No comments:
Post a Comment