Friday, July 29, 2011

MNYAMWEZI SHAROMILIONEA ADONDOKA NA VIDEO MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA SONDELA

Jamaa ambaye ameitingisha bongo kwenye bongo comedy move mwite SHAROMILIONEA ukipenda mwite SHAROBLING au SHAROPLATINUM amekuja na video yake mpya inayokwenda kwa jina la SONDELA ambayo video hiyo imefanya na producer KONA toka Tanga..hta jamaa amesema huu ndo ujio wake mpya na ameamua kuanza na track hiyo na pia kuna ngoma kibao zinakuja kama vile BILINGE ambayo ameiimba kwa mahadhi ya zouk na ngoma nyingine inaitwa SIMU YANGU NA SHARO THE SHARO MEN ambazo ameziimba kwa style ya crank..jamaa huyu yupo mbioni kumalizia album na pia next week tutaidondosha video ya sondela kwa mara ya kwanza ndani ya blog yetu ya kijanja

No comments:

Post a Comment