Friday, July 29, 2011

MWANADADA GWEN STEFAN AINGIA KWENYE BIFU ZITO NA MSANII LADY GAGA


Mwana dada gwen stefan aongea na media za nchini marekani kuwa kwa hivi sasa amejiingiza rasmi kwenye bifu na mwanadada ladygaga kwa anachokidai kuwa anamuiga style zake ili aweze kumfunika kwenye ulimwengu wa music..na pia amesema kuwa mwanadada huyo kuwa hawezi kumfikia hata kidogo bali atabaki kuwa chini yake kwa sababu yeye ndo mwanzilishi na wengine ndiyo watafata..

No comments:

Post a Comment