Saturday, July 23, 2011

NEW TRACK: BOMBOKLAT "LANGA"

Ndugu, jamaa na marafiki, 
Langa amerudi kwenye game na wimbo unaoitwa "BomboKlat". Kama alivyofanya kwenye kipindi cha CheusiDawa [Online] TV ya Fid Q, ameamua kuwa muwazi na kuweka mambo sawa huku akisindikizwa na midundo yenye mahadhi ya ragga.

No comments:

Post a Comment