Tuesday, August 9, 2011

FID Q'S DEDICATION SONG KWA MTOTO WAKE FEISAL




Baada ya august 13 sasa ni august 9
Mtoto wa kwanza wa kiume wa msanii Fid Q, amefikisha mwaka mmoja sasa leo hii tangu afanikiwe kuiona Dunia.Feisal alizaliwa tarehe 9 ya mwezi wa nane, mwaka mmoja uliopita. Baba feisal aka Fid Q kw afuraha aliyonayo leo hii ameamua kutengeneza ngoma maalum kwa ajili ya mwanae huyo. licha ya pini hilo kupitia facebook pia Fid ameandika


"Hip hop hooray...I just wanna shout out to all babies born on 9th August starting with my Lil man (my SON) Feisal a.k.a F'Duble,I can't believe a year has gone..happy 1st earthday SON..Dady loves you!!!!!!!"

No comments:

Post a Comment