Msanii toka kundi la YMCB Lil wyne jana alikutwa na ajali wakati alipokuwa anonyesha umahiri wake wa kucheza na Skateboarding ambayo ilimshnda na kumdondosha chini huko mjini St. Louis ambako alikuwa mekwenda kwa ajili ya ku enjoy..Baada ya msanii huyo kupata ajali alikimbizwa DePaul Health Center for immediate treatmen ..lakini kwa sasa jamaa yuko powa lakini akia bado anauglia maumivu kwa mbali
No comments:
Post a Comment