Wednesday, August 17, 2011
MNYAMWEZI ALMANDO SADAMU TOKA KUNDI LA JAMBO SQUARD..PANDE ZA RCHUGA
Mnyamwezi Sadam akiwa studio anafnya vocal ya nyimbo mpya ambayo iko mbioni kudondoka ..ambayo ameifanya kwa mtindo wa hiphop
Hapa mnyamwezi Sadam akiwa amejiachia katika pozi la ukweli baada ya kumaliza kufanya vocal nje ya studio flani pande za rchuga..kaa tayari ka ngoma yake mpya na kaliiii..hata hivyo ALMANDO SADAM NI CHALII WA ARUSHA AMBAYE YKO BEGA KWA BEGA NA WASANII WA ARUSHA KUHAKIKISHA MZK WA ARUSHA UNATOKA.. PIA ANA SCREEN KALI TU NA UKITAKA TSHET KALI MCHEK KUPITIA NAMBA YKE YA KIGANJANI AU FCEBOOK NA TWITER..... ILA KWA SASA YKO KAMPALA UGANDA AKIENDEKEA NA MASOMO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment