Msanii YOUNG DEE ambaye ni moja ya vichwa vinavyokimbiza hapa bongo kwa kufanya muziki wenye swagga tofauti ameweka wazi ujio wake wa album mpya itakayokwenda kwa jina la CITY OF DAVID (MJI WA DAVID)ambayo itadondoka hivi soon ikiwa na ngoma kali kibao.Hata hivyo msanii huyo ametoa onyo kuwa amejipanga vya kutosha na pia album hiyo ina ngoma zote kali zitakokufanya uisikilize mwanzo hadi mwishoo..Yalikuwa ni mahojiano kati ya BOOGY na mnyamwezi YOUNG DEE
No comments:
Post a Comment