Wednesday, September 7, 2011

BAADA YA WAKALI TOKA RCHUGA N2N SOLDIERS KUTINGISHA NA SWEETYSIXTEEN AUDIO.. MZIGO WA VIDEO UNADONDOKA NEXT WEEK KAA TAYARI

Tukiwa  tunapiga stori na mnyamwezi Gwarawara toka kundi la N2N soldierz ameweka wazi ujio wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la sweetsixteen ikiwa ni bonge moja ya video iliyofanywa na mtu mzima ADAM wa VISUA LAB..Jamaa alizidi kusema kuwa video hiyo ni moja ya hot video ambayo ana uhakika itafanya powa kwenye game la music wa hapa bongo na hata nje ya bongo...so guyz kaeni tayari kwa video hii ya kijanja kwa ajili ya wajanjaaa..

No comments:

Post a Comment