Thursday, September 22, 2011

MIXTAPE YA ANTIVIRUS VOL 2 IMEKUWA GUMZO NA KU MAKE HEADLINE PANDE ZA KITAA

MIXTAPE YA ANTIVIRUS VOL 2 A.K.A VINEGA IMEDONDOKA PANDE ZA KITAANI NA KUWEKA GUNZO KUBWA KWA MASHABIKI WA PANDE ZA KITAA KUTOKANA NA KUSAMBAA KWA ALBUM HIYO ..BAADHI YA MASHABIKI WALIKUWA WAKIISIFIA NA KUSEMA KUWA MIXTAPE HIYO IPO TAITI NA JAMBO LINGINE WALILOWEZA KUSEMA NI KUWASHUKURU WAMILIKI KWA KUAMUA KUITOA MIXTAPE HIYO FREE BILA MALIPO YOYOTE KWENYE BLOG NA WEBSITE MBALIMBALI ZA NJE NA NDANI YA BONGO..MIXTAPE HIYO INA NGOMA KALI KIBAO KAMA VIPI INGIA KWENYE MA WEB USACHI ILI NA WEWE UJIPATIE MZIGO HUO

No comments:

Post a Comment