Msanii waa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Cyrill aka Kamikaze ameamua kuingia studio mwenyewe na kutengeneza biti na kumuachia Mixing na Vocals Producer Maneck kutoka A.M Rec.
Cyrill aka Kamikaze anasema wimbo huo ameamua kuupa jina la SIWEZI CHOKA KUMSIFIA ambapo ndani ya wimbo huo kamshirikisha swahiba wake anayekwenda kwa jina la Jux
Its a crazy and dope collabo ya'l been waiting for....
STAY TUNED!

No comments:
Post a Comment