Thursday, September 22, 2011

UJIO MPYA WA ROMA MKATOLIKI AKIWA NA KALA JEREMAYA -MITAA INA KIU NA NJAA KAA TAYARI KUUPOKEA

MSANII ROMA MKATOLIKI AU ROMA TONGUE PAMOJA NA MSANII KALLA JEREMAYA WANAOFANYA MUSIC AINA YA HIPHOP HAPA NCHINI TANZANIA WAMEAMUA KUJA NA PROJECT YA AINA YAKE AMBAYO ITAKUWA INA HUSIANA NA UKWELI MTUPU KUHUSU MAISHA YANAYOENDELEA KITAANI AMBAYO IMEPEWA JINA LA KITAA KINA KIU NA NJAA,,ITAKUWA NI YA KIPEKEEE KAA TAYARI KUUPOKEA UJIO HUO JAPO HAWAKUTAKA KUWEKA WAZI KUAWA UJIO HUO UTAKUWA NI WA TRACK AU ALBUM BUT HIVI SOON TUTAJIONEA KWA MACHO YETU UJIO HUO SO KAA TAYARI KWA KUUPOKEA UJIO WA WAKALI HAO WANAOFANYA HIPHOP YA KWELI

No comments:

Post a Comment