Friday, October 7, 2011

CRIZE BOOGY AKIFUNGUKA JUU YA MAMBO YALIYOJITOKEZA KUHUSIANA NA BLOG YA TAFFGUYZ

CRIZE BOOGY KIONGOZI WA TAFFGUYZ

TUNAOMBA RADHI KWA MEMBER NA MARAFIKI WA KARIBU KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KWA HIVI KARIBU KUTOKANA NA KUTOWEKA HABARI MPYA KWENYE BLOG HII NI KUTOKANA NA MAMBO YALIYOKUWA NJE YA UWEZO WETU....SO TUNAOMBA RADHI RADHI KWA HILI ILA TUNAWAAMBIA KUWA TAFFGUYZ IMERUDI KAMA KAWAIDA NA MAUJANJA KIBAO SO KEEP IN TOUCH. BILA KUSAHAU NI KWAMBA TAFFGUYZ KWA HIVI SASA ITAKUWA CHINI YA MNYAMWEZI STIFFLER AKISHIRIKIANA NA ABEDEL OPTAT AMBAO WATAKUWA WANATUPIA HABARI NA MAMBO YOTE YA KIJANJA YANAYOHUSIANA NA BLOG HII..
NAJUA WATU WENGI WATAJIULIZA KWANINI NIME STOP KUIENDESHA BLOG HII ILA SABABU NI KUWA KWA SASA NIMEAMUA KUINGIA CLASS KWA AJILI YA KUONGEZA MAUJANJA KIBAO SO AFTER CLASS MUNGU AKIPENDA TUTAKUWA PAMOJA TENA KITAANI KWA MAUJANJA KIBAO..SO KEEP IN SHINE
 HAWA NDIYO WANYAMWEZI WATAKAO IONGOZA BLOG KWA SASA,UPANDE WA KUSHOTO NI MNYAMWEZI ABEDEL OPTAT NA KULIA NI MNYAMWEZI STIFFLER...SOO KAA TAYARI KWA MAUJANJA YAO

No comments:

Post a Comment