Friday, October 7, 2011

HUYU NDIYE SAM MISAGO TOKA EATV NA EARADIO ANWAUMIZA KICHWA MA PRESENTER WENGINE

HUYU NDIYE KIJANA SAMWEL MISAGO TOKA EATV NA EARADIO MWENYE SWAGGER ZA KUTOSHA AWAPO KATIKA KIPINDI CHA FRIDAY NIGHT LIVE..UKIMSIKIA KWENYE KIPINDI CHAKE CHA REDIO HUWEZI KUAMINI KAMA NI YEYE KUTOKANA NA SWAGGER NA SAURTI ALIYOKUWA NAYO NI YA KIPEKEE NA TOFAUTI NA MA PRESENTER WENGINE KIASI CHA KUFANYA WATANGAZAJI WENGINE KUANZA KUJIPANGA ILI KUSHINDANA NA DOGO HUYU MWENYE SWAGGER KAMA HUJAWAHI KUMUONA BASI FUNGULIA FNL KILA IJUMAA USIKU...

No comments:

Post a Comment