JCB BADO ANAJISHAURI KUHUSU KUDONDOSHA ALBUM YAKE SOKONI ...
AMEYASEMA HAYO KUTOKANA NA SOKO BOVU LILOPO HAPA BONGO LA MUSIC..ILA JAMAA AMEONA NI BORA AWEKE WAZI KUWA HAPENDI KUWAANGUASHA WASHABIKI WAKE LAKINI PIA HAPENDI KUPATA HASARA WA MUSIC ANAOUFANYA..SO HADI SASA JAMAA HAJAPATA JIBU KAMILI AFANYE NINI
No comments:
Post a Comment