EMMANUEL MKONDA MMOJA KATI YA VICHWA HATARI KUTOKA TAFF GUYZ AMBACHO KIMEPEWA MIKOBA YA KUENDELEZA PROJECT AMBAYO PREZEEDAA BOOGY ALIIACHA NJIANI KUTOKANA NA MAJUKUMU YA KIELIMU ZAIDA. KWA STUDIOS,CAMPS, NA MAENEO YEYOTE YANAYOHUSU MUSIC JIANDAENI NA MTAA KWA MTAA PROJECT AMBAYO PIGA UA IMEDHAMIRIA KUWATOA KATIKA KAZI ZENU MNAZO FANYA IWE GRAPHICS EDITING,MUSIC PRODUCER NA VIDEO EDITING
No comments:
Post a Comment