Wasanii wanaounda kundi la Nako 2 Nako hapa namzungumzia Lord Eyez, G-Nako na Boo Nako weekend hii watakuwa wanashoot video yao mpya inayoitwa "Sweety Sixteen". Ili video hiyo ikamilike na hilo jina liwe zuri hata uangaliapo video hiyo wanaomba wapate watoto wazuriiiiiiiiiiiiiii nikimaanisha wasichana warembo watakaoing'arisha video hiyo, kama unaona unavigezo vya uzuri basi wacheki kupitia namba hii
+255 654 922720
No comments:
Post a Comment