Msanii wiz khalifa amekula shavu la kupafomu kwenye tuzo za Grammy 2013...hata nyimbo iliyo mfanya apate shavu hilo ni rmx ya ngoma iitwayo Adorn aliyofanya na msanii Migel ambaye nae pia amekula shavu la kufanya show...kuna wasii wengine ambao nao pia wametwajwa kuwa watapiga show kama Rihanna, Alicia Keys, Frank Ocean, na Justin Timberlake...so kaa tayari
No comments:
Post a Comment