HUYU NDO MCHIZI SEWI................ |
SEWI AKIWA NDANI YA STUDIO |
MCHIZI TOKA PANDE ZA DAR MWENYE MAKAZI PANDE ZA MTWARA KWA SASA KWA AJILI YA KITABU KATIKA CHUO CHA TIA...NI MOJA YA VICHWA VINAVYOKUJA KWA KASI KWENYE GAME LA BONGO MUSIC AMBAYE KWA HIVI SASA ANA KIMBIZA NA NGOMA YAKE MPYA INAYOJULIKANA KAMA MISS TIA INAYOFANYA VIZURI KWENYE VITUO VYA RADIO MBALIMBALI ZA KUSINI MWA TZ NA TZ KWA UJUMLA...KWA HIVI SASA MCHIZI ANATARAJIA KUACHIA SINGO KIBAO NA KALI ZENYE MAHADHI YA R&B NA ZOKKUO...SO KAA TAYARI KUMPOKEA MCHIZI
1 comment:
keep it up ma ninja
Post a Comment