Saturday, February 2, 2013

KAA TAYARI KWA NGOMA MPYA TOKA KWA KUNDI LA MECCA CHEKA FT GNAKO


Wasanii wawili toka arusha wanaowakilisha kundi la mecca cheka ..ambaye mmoja anajulikana kwa jina la ALMANDO MWIRORA na mwingine ALMANDO RIZI CHAFU  hivi karibuni wanatarajia kuachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la NAONGEA NINACHOKIONA waliomshirikisha msanii GNAKO......nikiongea kwa cm na moja ya wasanii hao alidai ngoma hiyoo itakuwa ni kali ya zaidi ya ngoma zao walizowahi kuzifanya so kaa tayari kwa ngoma hiyooo

No comments:

Post a Comment