Saturday, February 2, 2013

MSANII SUMALEE AZUIWA KUJA KUMZIKA BABA YAKE MZAZI


Msanii suma lee toka Tanga ambaye kwa hivi sasa yupo nchini uingereza kwa ajili ya mambo yake ya kimuziki hapo jana alizuiwa kuja kumzika baba yake kutokana na kutokuwa na pasipot ambayo alikuwa ameipeleka ubalozini kwa ajili ya kugonga viza ya kuongeza siku za kukaa nchini humo..maneno hayo alikuwa akiongea live kwenye cm alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji wakituo cha redio flan hakuishia hapo bt aliendelea kwa kusema kuwa ina muuma kwa kukosa kumzika baba yake yake lakini hadi kufikia hivi sasa kila kitu kinaenda powa na hivi karibuna atatua mjini tz....

No comments:

Post a Comment