Wednesday, February 6, 2013

MWANADADA ALICIA KEYS KUFANYA PERFORMANCE KATIKA NBA-ALL STARS GAME

Mwanadada Alicia keys amekula shavu la kufanya perfomance katika ALL STARS GAME itakayo fanyika hapo tarehe kumi na saba mwezi wa pili..shavu limemdondokea mwanadada huyo pamoja na mwanakaka John Legend ambao niyo watakao imba wimbo wa taifa kwa ajili ya ufumbuzi wa mechi hizo

No comments:

Post a Comment