Wednesday, February 6, 2013

UJIO MPYA WA JUSTINE TIMBERLAKE-ADONDOSHA OFFICIAL ARTWORK INAYOBEBA ALBUM INAYOKWENDA KWA JINA LA 'THE 20/20 EXPERIENCE'

Ujio mpya wa msanii justine ambaye amerudi tena kwa kasi kwenye game ya music na kufanya vizuri..ametangaza ujio wake waalbum yake mpya ambayo itakuwa inabebwa na official artwork itakayokwenda kwa jina la 'the 20/20 experience' ambayo itakuwa imebeba track kibao kali...so hivi soon itadondokaaa

Hii ndiyo official artwork ambayo itakayokuwa inabeba album ya justine




hizi ndiyo track zitakazokuwa zinapatikana ndani ya album hiyo

No comments:

Post a Comment