Saturday, July 16, 2011

Gucci na Waka Flocka wanakuja na Ferrari Boyz

Kwa ambaye alikuwa ajui basi ajue.. Gucci mane katoka Jela.., anakama wiki hivi sasa na tayari kaungana na pacha wake Waka Flocka, Pamoja wanakuja na album ambayo itatoka mwezi wa 8 tarehe 9 ambayo itaitwa Ferrari Boyz…

No comments:

Post a Comment