Friday, July 15, 2011

NEW ALBUM TOKA KWA MORE PLUS...VOL 1..JIPATIE

Msanii toka pande za arusha anayejulikana kama Mo-plus a.k.a Baba wa ukoo .amedondoka na album yake mpya inayokwenda kwa jina la BABA WA UKOO VOL  1....ndani ya album hiyo kuna vichwa ka Mwamba wa kaskazini,Gnako...na ngoma kali kama vile X-ray

No comments:

Post a Comment