Saturday, August 20, 2011

DEE JAYP KWENYE NI MCHIZI ANAYEKUJA KWA KASI KWENYE UPANDE WA KUCHEZA NA SANTURI TOKA PANDE ZA RCHUGA


AKIWA ANAONYESHA UMAHIRI WAKE WA KUSUGUA SANTRI PANDE ZA CLUB FLANI RCHUGA NA KUWAPAGAWISHA WATU WALIOKUWA WAKUJA KWENYE DISCO HILO


HAPA AKIWA ANAJIANDAA KWA AJILI YA KUKONGA MOYO WATU WANOKUJA DISCO..KWA HARAKAHARAKA UKIMWOA MCHIZI NA UKISIKIA MAMBO ANAYOYAFANYA UNAWEZA UKAKATAA NA KUSEMA KUWA SIYO YEYE..LAKINI UKWELI UNABAKI KUWA JAMAA NI MKALI

No comments:

Post a Comment