Sunday, August 21, 2011

MANSU-LI KUTOKA KIVINGINE NA NDANI YA NYUMBA.

Wiki ijayo msanii wa bongo fleva mwenye ladha za hip hop Mansu-Li anategemea kuachia wimbo mwingine mpya utakaokwenda kwa jina la NDANI YA NYUMBA utakaomshirikisha msanii toka TMK Chege pamoja na msanii mwingine anayekwenda kwa jina la Chibwa kutoka Mexicana. Mansu-Li amesema wimbo huo umesimamiwa na producer Mesen Selekta na amesema amejaribu kuja tofauti kidogo, namnukuu
"yeah, me mwenyewe sijui raia watakipokeaje maana tangu nianze game ndo mara ya kwanza kufanya ngoma ya kupati mimi kama mimi"

No comments:

Post a Comment