Friday, August 5, 2011

Lady jaydee adondoka na albamu mpya inayokwenda kwa jina la moto

mwanadada binti koando ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la MOTO ambayo ipo madukani na kwenye WEB tofauti kama kweli wewe ni mjanja jipatie copy yako

No comments:

Post a Comment