Friday, August 5, 2011

The Game asema hawezi kuweka bifu na msanii Eminem kwa kuwa ana muheshimu sana msanii huyo

Msanii the game anayefanya music aina ya hiphop amesema kuwa anamuheshimu sana msanii eminem n hataweza kumewekea bifu hata siku mmoja kwa ni ya wasanii anaowapenda na kukubali kazi zao..alikuwa anaongea maneno hayo katika moja ya interview yake aliyo kuwa akiifanya kwenye kituo cha luninga cha MTV 

No comments:

Post a Comment