Monday, August 8, 2011

HAIKUISHIA HAPO TAFFGUYZ ILIENDELEA KUKISANUA PANDE ZA MA FM NAKUKUTANA NA PRESENTER TOKA BREEZE FM UNAMJUA NI NANI HUYO

Huyu ni mchizi anayejulikana kwa jina la JR JUNIOR ambaye ni presenter mwenye mikogo na nakshi nakshi akiwa ONAIR ambaye anatangaza kipindi cha TRACK TRACK siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa saba mchana hadi saa nane katika redio ya kijanj ya BREEZE FM ndani ya jiji la TANGA...Kiufupi jamaa ana weza so poeple jamaa anahitaji sapoti yenu kwa hali na mali...kwa tahadhari nawaonya jamaa anakuja kwa kasi maana pia ni msanii wa bongo fleva so kaa taeni mkao wa kula

No comments:

Post a Comment