Monday, August 8, 2011

KAMA KAWA PROJECT YA MTAA KWA MTAA IPO PANDE ZA TANGA NA LEO WATU WAZIMA TUMEJITUPA ELYZ RECORD KWA AJILI YA KUPATA MAUJANJA YANAYOENDELEA NDNI YA PRODUCTION HIYO ILIYOPO PANDE ZA TANGA TOWN

KONA pamoja na kichwa kingine cha ELYZ RECORD kinachokwenda kwa jina la BATRUMOIL ambacho kipo mbioni kuachia single yake redion
Hii ndo studio ya ELYZ RECORD toka pande za tanga so kwa wajanja na wanao sapoti mziki wa bongo mnakaribishwa kwa maujanja kibao toka ndani ya studio hii
Hili ni kundi la PAMOJA ACTION ambalo liko chini ya labal ya ELYZ RECORD ambalo lina vichwa vikali vinavyochipukia kwenye game letu la BONGOFLEVA..wa kwanza kushoto ni G AU MAN CARDO ngoma yake inakuja soon,wa pili BAGUJE ambaye amefanya ngoma ya natamani na yupo mbioni kuachia album,mwingine ni mwanadada MEY ambaye anatamba na vibao vyake kama mapenzi noma na umeniacha na mwenye kizibao ni producer KONAw mwisho ni PRODUCER CHOPA ambaye naye anakuja kwa kasi..kaeni mkao wa kula


Huyu ndiye producer KONA ambaye ni moja ya ma producer wa production hii ya ELYZ RECORD na ambaye amefanya singo na wasanii kama SHAROMILIONEA, GELLY WA RYMES,DULLAYO na wasanii wadogo wadongo kibao..na hivi karibuni yupo mbioni kudondoka na single mpya na kali kibao

No comments:

Post a Comment