Friday, August 5, 2011

Ncki Minaj ajiingiza kwenye kucheza moves inayokwenda kwa jina la ICE AGE 4

Mwanadada machachari anayekwenda kwa jina la nicki minaj amejikita kwenye ulimwengu wa moves na yuko mbioni kucheza move inayokwenda kwa jina la ICE AGE 4 ambayo move hiyo wameshiriki watu malimbali kama vile Harajuku Barbie, Joy Behar, Nick Frost, JB Smoove, Heather Morris, Josh Gad, Alan Tudyk, Kunal Nayyar and Alain Chabat..ambao wataifnya move iweze kuwa kali na ya ukweli kupitia production inayokwenda ka jina la 20th Century Fox and Blue Sky Studios ambayo ni studio maalumu kwa kutoa move kali ,.pia kuna baadhi ya wasanii ambao ni Drake, Jennifer Lopez, Queen Latifah, Aziz Ansari..move hiyo itadondoka rasmi mwaka 2012 kwa mujibu wa msemaji mkuu alivyowaeleza waandishi wa habari

No comments:

Post a Comment