Sunday, August 7, 2011

HONGERA KAKA YANGU SAFIEL KWA KUPATA JIKO NA MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE NA MKEO ENIKA







hivi ndivo mambo yalivyokuwa ndani ya jiji la tanga hiyo siku ya jumapili baada ya kaka yetu mpendwa kujichukulia jiko lake kwa shangwe nderemo na vifijo..kiufupi watu waliokuwa ukumbini walisema mengi..ila ukweli tunamuachia muumba mbingu na ardhi na mwenye enzi hii yote ni mMUNGU






CRIZE BOOGY akiwa na dogo wake REINHARD ndani ya kivazi cha ukweli
Huyu ndiye ALLEN ambaye ni baba mzazi wa YOUNG EMMA na pia ni mwasibu wa WHITE RIBBON
Huyu ni ELIAMAN pacha wa allen
miss tanga mwaka jana JHALLY MURAY akiwa na afisa mikopo wa NMB ZAINABU MSANGI ambaye ni dada wa TAFFGUYZ

keki y mfanooo..ilikuwa ya kushangaza umatii

No comments:

Post a Comment